• Je, Bikira Maria ni Mama wa Matumaini?
    May 9 2025

    Karibu katika Kipindi cha Katekisimu Katoliki, kutoka Studio za Radio Maria Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.P.PS Mkurugenzi wa matangazo Radio Maria Tanzania akieendelea kutufundisha Mama wa Matumaini.

    L'articolo Je, Bikira Maria ni Mama wa Matumaini? proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    56 mins
  • Je, unafahamu sifa ya Bikira Maria Mama wa Matumaini?
    May 9 2025

    Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, leo katika kipindi chetu tutakuwa na Padre Dominic Mavule Mkurugezi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akijibu swali letu kuhusu mafundisho ya Imani Katoliki

    L'articolo Je, unafahamu sifa ya Bikira Maria Mama wa Matumaini? proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    55 mins
  • Mambo gani yanasababisha ndoa nyingi siku hizi zisidumu katika ubora wake ?
    May 2 2025

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Abel Ubamba, Kutoka seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, nikijibu swali la Msikilizaji linalosema mambo gani yanasababisha ndoa nyingi siku hizi zisidumu katika ubora wake ?

    L'articolo Mambo gani yanasababisha ndoa nyingi siku hizi zisidumu katika ubora wake ? proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    31 mins
  • Ni, kwa namna gani Bikira Maria ni Mama wa Matumaini?
    May 2 2025

    Karibu ungane nami Happiness Mlewa katika Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe Mkurugenzi wa Radio Mbiu sauti ya Faraja Kagera, akituongoza kujifunza ni kwa namna gani Bikira Maria ni Mama wa Matumaini

    L'articolo Ni, kwa namna gani Bikira Maria ni Mama wa Matumaini? proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    55 mins
  • Je, ni kwa namna gani Yesu alikutukomboa kutoka Dhambini?
    Apr 24 2025

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Peter Peter Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki la Songea ,akijibu swali la Msikilizaji linalosema Yesu alitukomboa kwa namna gani mbona dhambi bado ipo duniani?

    L'articolo Je, ni kwa namna gani Yesu alikutukomboa kutoka Dhambini? proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    23 mins
  • Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa?
    Apr 24 2025

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frateri Emmanuel Elisha Mganga Kutoka Parokia ya Mtakatifu Magreth wa Scotland Majengo, Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, akijibu swali hili Naomba kujua Wainjili ni wanne kwanini Kanisa katoliki linakomea mwaka “C” wa Kanisa na kwanini hakuna mwaka ‘D’ wa Kanisa?

    L'articolo Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa? proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    25 mins
  • Fahamu aina za watu na tabia zao.
    Apr 24 2025

    Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Uraibu, Mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha Kutoka Jimbo Katoliki Moshi, akiendelea kutufundisha juu ya aina za watu na tabia zao.

    L'articolo Fahamu aina za watu na tabia zao. proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    51 mins
  • Ifahamu historia ya Baba Mtakatifu Fransisko.
    Apr 23 2025

    Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akielezea historia ya Baba Mtakatifu Francisko.

    L'articolo Ifahamu historia ya Baba Mtakatifu Fransisko. proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less
    50 mins