• Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa?

  • Apr 24 2025
  • Length: 25 mins
  • Podcast

Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa?

  • Summary

  • Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frateri Emmanuel Elisha Mganga Kutoka Parokia ya Mtakatifu Magreth wa Scotland Majengo, Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, akijibu swali hili Naomba kujua Wainjili ni wanne kwanini Kanisa katoliki linakomea mwaka “C” wa Kanisa na kwanini hakuna mwaka ‘D’ wa Kanisa?

    L'articolo Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa? proviene da Radio Maria.

    Show More Show Less

What listeners say about Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa?

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.